Pliers (alizaliwa kama Everton Bonner huko Kingston, Jamaika, 4 Aprili 1963) ni mwimbaji wa reggae wa Jamaika anayejulikana zaidi kwa ushirikiano wake na deejay Chaka Demus chini ya jina la Chaka Demus & Plier Yeye ni mmoja wa ndugu wa familia ya Bonner, wote wakiwa wasanii wa reggae, wakiwemo Richie Spice na Spanner Banner.[1]

Pliers mwaka 2009

Marejeo

hariri
  1. Steve huey, [[[:Kigezo:AllMusic]]] at Allmusic