Katika uchapaji, pointi (kwa Kiingereza: point) ni kipimo kidogo zaidi. Watu hutumia pointi ili kupima ukubwa wa fonti na vitu vingine kwenye kurasa zilizochapishwa.

Rula inayoonyesha ukubwa wa pointi (chini ya rula) na ukubwa wa inchi (juu ya rula).

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).