Pembenyingi

(Elekezwa kutoka Polygon)

Pembenyingi (pia: poligoni) ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.

Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye ubapa zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.

Katika jiometria bapa pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.

Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.

Mifano ya pembenyingi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembenyingi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.