Port Harcourt ni mji wa jimbo la Rivers, kusini mwa Nigeria.

Moja ya majengo ya Sekretarieti ya Jimbo huko Port Harcourt
Moja ya majengo ya Sekretarieti ya Jimbo huko Port Harcourt

Mwaka 2016 idadi ya wakazi wake ilikadiriwa kuwa 7,303,900.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port Harcourt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.