Port Moresby
Port Moresby (9°30′S 147°12′E) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Papua Guinea Mpya. Kuna wakazi 255,000 (2000). Mji uko mwambanoni wa ghuba ya Papua upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 11 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|