Primeval (TV Series)

Primeval ni filamu ya uigizaji iliyozalishwa na ITV ikishirikiana na Impossible Pictures.

Filamu hii iliundwa na Adrian Hodges na Tim Haines.

Filamu inahusu viumbe vya ajabu vinaingia katika dunia kupitia milango maalumu iitwayo kisayansi kwa jina la Anomalies.

Washiriki wa filamu hariri

Viungo vya nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: