Prisca Chesang
Prisca Chesang (alizaliwa 7 Agosti 2003)[1] ni mwanariadha wa Uganda wa mbio za kati na ndefu. Alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 5000 katika Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2021 na 2022 ya Walio Chini ya Miaka 20.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Prisca Chesang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |