Kaizari Probus

(Elekezwa kutoka Probus)

Marcus Aurelius Probus (takriban 232 – Septemba/Oktoba 282) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Juni 276 hadi kifo chake. Alimfuata Tacitus.

Sanamu ya kichwa cha Kaizari Probus

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Probus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.