Mtayarishaji

(Elekezwa kutoka Producer)

Mtayarishaji ni mtu anayetengeneza kitu au kukiandaa, kuangalia mazingira gani yatafaa kutayarishia k.m. filamu n.k. Pia mtayarishaji huwa anapata msaada mkubwa kutoka kwa muongozaji ambaye yeye huwaweka wasanii sawa vipi filamu itatakiwa iwe n.k. Ila kwa mtazamo ambao watu wengi wamezoea kuuona na kusikia ni kwamba mtayarishaji huwa mtu anayetengeneza filamu au nyimbo.

Oliver Berben, Mtayarishaji, mwongozaji na mwandishi wa Miswada ya filamu toka nchini Ujerumani
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtayarishaji kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.