Oje Ken Ollivierre (anajulikana sana kama Protoje, alizaliwa 14 Juni 1981)[1] ni mwimbaji wa kisasa wa reggae na mwandishi wa nyimbo.

Protoje katika tamasha huko Antwerp, Ubelgiji mwaka 2022.

Mama yake Lorna Bennett ni mwimbaji na wakili kutoka Jamaika, anayejulikana zaidi kwa wimbo wake wa mwaka 1972 Breakfast in Bed.[2][3][4]

Marejeo

hariri
  1. "Protoje age, hometown, biography". Last.fm. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Johnson, Richard (2015) "'My best work yet': Protoje pours it all in latest set", Jamaica Observer, 11 March 2015. Retrieved 12 March 2015
  3. MacLeod, Erin (12 Machi 2015). "Protoje: 'I wanted to capture the history of Jamaican music'". Theguardian.com. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Henry, Krista (28 Machi 2011). "All in the family – Cousins Protoje, Don Corleon share their love for music". Jamaica Star. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2024-10-15.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)