Protoni ni chembe ndani ya atomi. Ni sehemu ya kiini cha atomi yenye chaji ya chanja pamoja na neutroni zisizo na chaji.

Muundo wa protoni

Elementi zapangwa katika mfumo radidia kufuatana na idadi ya protoni.

Masi ya protoni ni ndogo sana. Huaminiwa ya kwamba kila protoni inajengwa na quark tatu.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Protoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.