Provence ni eneo la kihistoria katika Ufaransa wa leo, mpakani mwa Italia, ambalo linatunza utambulisho wa pekee.

Provence ya kihistoria (njano) ndani ya mipaka ya leo ya Provence-Alpes-Côte d'Azur.

Imo ndani ya mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur.

Mji mkubwa zaidi ni Marseille.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Provence kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.