Puerto Vallarta, Jalisco

Puerto Vallarta (pwerto βaʎarta; Kiswahili: Bandari ya Vallarta) ni mji mkubwa katika Jalisco. Upande wa magharibi ni maji wa Pasifiki. Ni mji wa mapumziko nchi Mexiko.

Sehemu za Mji wa Puerto Vallarta, Jalisco


Puerto Vallarta
Nchi Mexiko
Jimbo Jalisco
Idadi ya wakazi
 - 177,830
Tovuti: www.puertovallarta.gob.mx

Idadi ya wakazi ni 177,830, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 220,368. Uneo lake ni 1,300.7 km².

Mji ulianzishwa mwaka 1851.


Location Puerto Vallarta.png
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Puerto Vallarta, Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.