Purifikatorio (kutoka Kiitalia purificatorio au purificatoio au purifichino kutokana na kitenzi "purificare", yaani kutakasa) ni kitambaa cha kitani kinachotumika katika liturujia ya Misa[1] kusafishia patena na kalisi kabla na baada ya kuvitumia kwa ajili ya ekaristi (Mwili na Damu ya Kristo).

Umbo lake ni la pembenne na katikati yake msalaba mdogo mwekundu umehaririwa.

Tanbihi hariri

  1. Ordinamento generale del Messale Romano, 118
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Purifikatorio kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.