Queen
bendi ya muziki kutoka Uingereza
Queen ni bendi ya muziki wa rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1970. Iliumbwa na Freddie Mercury (mwimbaji), Brian May (gitaa), Roger Taylor (ngoma) na John Deacon (besi). Walifanya albamu 15 za studio tangu mwaka 1973 mpaka mwaka 1995. Tangu Freddie Mercury amepofa mwaka 1991 Queen wameshirikiana na wanamuziki wengine, kwa mfano Paul Rodgers (miaka 2004–2009).
Queen wamefanya nyimbo zingi maarafu, kama "Bohemian Rhapsody" (1975), "We Will Rock You" (1977), "We Are the Champions" (1977), "Another One Bites the Dust (1980) na "The Show Must Go On" (1991).
Diskografia
haririAlbamu za studio
hariri- Queen (1973)
- Queen II (1974)
- Sheer Heart Attack (1974)
- A Night at the Opera (1975)
- A Day at the Races (1976)
- News of the World (1977)
- Jazz (1978)
- The Game (1980)
- Flash Gordon (1980)
- Hot Space (1982)
- The Works (1984)
- A Kind of Magic (1986)
- The Miracle (1989)
- Innuendo (1991)
- Made in Heaven (1995)
Albamu za live
hariri- Live Killers (1979)
- Live Magic (1986)
- Queen at the Beeb (1989)
- Live at Wembley '86 (1992)
- Queen on Fire – Live at the Bowl (2004)
- Queen Rock Montreal (2007)
Albamu za kompilesheni
hariri- Greatest Hits (albamu ya Queen) (1981)
- Greatest Hits II (albamu ya Queen) (1991)
- Classic Queen (1992)
- Queen Rocks (1997)
- Greatest Hits III (1999)
- Absolute Greatest (2009)