Queen Elizabeth Makune

Queen Elizabeth Makune ni mshindi wa mashindano ya Miss Tanzania 2018[1].

Queen Elizabeth Makune
Nchi Tanzania

Aliiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss world 2018, yaliyofanyika nchini China. Alipata fursa hiyo akiwa na umri wa miaka 22.

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-09-15. Iliwekwa mnamo 2018-12-08.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Queen Elizabeth Makune kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.