Rabiu Ali
Rabiu Ali (alizaliwa 27 Septemba 1980) ni kiungo wa kandanda wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Kano Pillars F.C. ambaye pia ndiye nahodha wa sasa wa klabu ya Kano Pillars F.C. na anachukuliwa kuwa mmoja ya wachezaji bora kabisa wa klabu na mmoja wa wachezaji bora katika Ligi ya Nigeria Professionale.[1]
Ushiriki Kimataifa
haririMagoli Kimataifa Idadi Ya Magoli na matokeo Nigeria [2]
Heshima
haririKano Pillars Mshindi
- Ligi Kuu ya Nigeria (3): 2011–12, 2012–13, 2013–14
- Kombe la FA la Nigeria (1)
Marejeo
hariri- ↑ RABIU ALI: Marriage has been good to me thenationonlpineng.net
- ↑ "Ali, Rabiu". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo Vya Nje
hariri- Rabiu Ali katika Soccerway
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rabiu Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |