Rachel Adams

Mwanasiasa wa ANC wa Afrika Kusini, mjumbe wa Bunge la Afrika Kusini kutoka Rasi ya Kaskazini.

Rachel Cecilia Adams (amezaliwa 9 Agosti 1963) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini kutoka bunge la Taifa la Afrika. Yeye ni mjumbe wa Bunge la Kitaifa la Afrika kusini kutoka cape kaskazini.[1]

Rachel Cecilia Adams
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Manasiasa

Marejeo hariri