Abdel Rahim Alhassane Bonkan (alizaliwa 1 Januari 2002), anayejulikana kama Rahim Alhassane, ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza kama beki wa kulia wa klabu ya Primera Federación Rayo Majadahonda. Mzaliwa wa Nigeria mwenye asili ya Niger, anachezea timu ya taifa ya Niger.

Ushiriki Katika Klabu hariri

Rahim Alhassane alianza uchezaji wake nchini Hispania katika klabu ya Paracuellos Antamira mnamo 2020, kabla ya kusaini na klabu ya Rayo Majadahonda mnamo Januari 2021.[1]

Ushiriki Kimataifa hariri

Rahim alicheza kwa mara ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Niger katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2023 1-1 na Tanzania mnamo 4 Juni 2022.[2]

Marejeo hariri

  1. "El lateral izquierdo sub-23 Abdel Rahim Alhassane cierra la plantilla gimnástica". El Norte de Castilla. 31 August 2021.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Niger vs. Tanzania - 4 June 2022 - Soccerway". int.soccerway.com. 

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rahim Alhassane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.