Rais wa Ufini
Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[1]
Jamhuri hiyo imekuwa na marais kumi na watatu. Orodha yao ni kama ifuatavyo [2]:
Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)
Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)
Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)
Kyösti Kallio (1937 - 1940)
Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)
Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)
Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)
Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)
Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)
Martti Ahtisaari (1994 - 2000)
Tarja Halonen (2000 - 2012)
Sauli Niinistö (2012 - 2024)
Alexander Stubb (2024 -)
Tanbihi
hariri- ↑ Edita Publishing Oy. "FINLEX ® - Ajantasainen lainsäädäntö: Suomen perustuslaki 731/1999". finlex.fi (kwa Kifini). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
- ↑ "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.