Rama Brew

Mwigizaji na Mwanamuziki wa Ghana

Rama Brew ni mwigizaji wa zamani nchini Ghana, mtu wa televisheni na mwanamuziki wa jazz. [1][2]

Rama Brew
Rama Brew
Amezaliwa Rama Brew
Kazi yake Mwigizaji, mtangazaji wa televisheni na mwanamuziki wa jazz
Miaka ya kazi 1971, hadi sasa

Maisha ya awali

hariri

Kama mtoto Rama alitaka kuwa mcheza muziki lakini baba yake hakuridhia. Alitambulishwa na shangazi yake katika televisheni ya Ghana Broadcasting Corporation(GBC).[3]

Maisha Binafsi

hariri

Rama Brew ana mtoto mmoja wa kike anaejulikana kama Michelle Attoh ambae pia ni Mwigizaji .[4]

Marejeo

hariri
  1. Ofori, Oral. "Rama Brew Tells Youth To Be Wary Of Showbiz, Also Asks Actors' Guild To Protect Artistes". Modern Ghana. Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Yaob. "Mother of Ghollywood- Rama Brew". modernghana.com. modernghana.com. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ofori, Oral. "Rama Brew Tells Youth To Be Wary Of Showbiz, Also Asks Actors' Guild To Protect Artistes". modernghana.com. The African dream. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "I played 'Chaskele' growing up – Actress/TV Host Michelle Attoh". Live 91.9 FM. 2015-07-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-05. Iliwekwa mnamo 2017-08-31. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rama Brew kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.