Ramatu Tijani Aliyu

Ramatu Tijani Aliyu (alizaliwa 12 Juni 1970) ni mwanasiasa kutoka jimbo la Kogi nchini Nigeria. Yeye ni Waziri wa Nchi wa Jiji la Shirikisho [1] aliteuliwa na Rais Muhammadu Buhari mwezi Agosti 21, 2019. [2] Ramatu hapo awali alikuwa Kiongozi wa Kitaifa wa Wanawake wa Chama cha All Nigeria People Party (ANPP).

Marejeo

hariri
  1. "FG assures FCT residents of safety during festivities". Punch Newspapers (kwa American English). 2021-12-22. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
  2. "FG tasks auditors-general on adherence to financial rules, regulation". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa American English). 2019-12-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-22. Iliwekwa mnamo 2022-02-22.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramatu Tijani Aliyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.