Raphael Benedict Mwalyosi

Raphael Benedict Mwalyosi (amezaliwa tar. 3 Desemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Ludewa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Raphael Benedict Mwalyosi (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit