Ras Kazone Rear Range Lighthouse

Mnara wa taa wa nyuma wa Ras Kazone uko kwenye mwambao wa rasi ya Ras Kazone mjini Tanga, Tanzania. Unatoa mwongozi kwa meli zinazoelekea bandari ya Tanga .

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri