Rasheed Broadbell (alizaliwa 13 Agosti 2000) ni mkimbiaji wa Jamaika ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 110 kuruka viunzi, ambazo alishinda katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2022.[1] Pia alishinda medali ya shaba katika hafla hiyo hiyo katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2024.

Rasheed Broadbell

Marejeo

hariri
  1. "Rasheed Broadbell wins Commonwealth gold in sprint hurdles".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rasheed Broadbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.