Rashid Abdalla Rashid

Mwanasiasa wa Tanzania

Rashid Abdalla Rashid (Oktoba 24, 1973), ni mwanasiasa mtanzania kwa sasa anahudumu kama mbunge wa chama cha mapinduzi katika jimbo la kiwani katika mkoa wa mkoani Zanzibar tangu Novemba 2015.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Member of Parliament Profile". Parliament of Tanzania.