Rayan Cherki
Mathis Rayan Cherki (alizaliwa 17 Agosti 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama kiungo mshambuliaji au kama winga wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rayan Cherki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |