Raymundo Damasceno Assis

Raymundo Damasceno Assis (alizaliwa 15 Februari 1937) ni Kardinali wa Brazili katika Kanisa Katoliki. Alikuwa Askofu Msaidizi wa Brasília kuanzia mwaka 1986 hadi 2004 na Askofu Mkuu wa Aparecida kuanzia 2004 hadi 2016.[1]

Raymundo Damasceno Assis

Marejeo

hariri
  1. "Pope puts his stamp on Catholic Church future with new cardinals", Reuters, 20 November 2010. Retrieved on 2024-11-16. Archived from the original on 2017-10-23. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.