Rebecca Mulira

Mtetezi wa haki za wanawake wa Uganda na mwanaharakati wa kijamii


Rebecca Allen Namugenze Mukasa (analijulikana pia kama Rebecca Mulira) alikuwa mtetezi wa haki za wanawake na mwanaharakati wa masuala ya kijamii wa Uganda .

Rebecca Allen Namugenze Mukasa
Amezaliwa
Kampala, Uganda
Amekufa 2001
Nchi Uganda
Majina mengine Rebecca Mulira
Kazi yake Mwanaharakati

Wasifu

hariri

Rebecca Mulira alizaliwa kwenye hospitali ya Mengo, Kampala, Uganda. [1]

Michango

hariri

Anajulikana kwa mchango wake kwenye Ufalme wa Buganda [2]

Heshima

hariri

Alitunukiwa tuzo za heshima kama mmoja wa vinara wa kike wa mapambano dhidi ya Ukoloni wa Kiafrika [3]

Alipongezwa na akina Kabaka kwa kuwa kinara katika ukombozi wa wanawake. [4]

Alifariki kwa ajali ya gari mwaka wa 2001. [5]

Marejeo

hariri
  1. earle, jonathon l (2012), "Mulira, Rebecca", Dictionary of African Biography (kwa Kiingereza), Oxford University Press, doi:10.1093/acref/9780195382075.001.0001/acref-9780195382075-e-1446, ISBN 978-0-19-538207-5, iliwekwa mnamo 2020-04-15
  2. "Finding AidEridadi M.K. Mulira Papers: Cambridge Centre of African Studies" (PDF). Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Honouring Women in Africa". Business Insider. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Kabaka Hails Rebecca Mulira". allafrica. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Let’s remember Rebecca Mulira". www.newvision.co.ug. Iliwekwa mnamo 2020-04-15.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Mulira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.