Recife ni jina la mji mkuu wa jimbo la Pernambuco katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Recife
Recife

Bendera
Majiranukta: 8°03′00″S 34°54′00″W / 8.05°S 34.9°W / -8.05; -34.9
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Pernambuco
Idadi ya wakazi
 - 1,591,659
Tovuti: www.recife.pe.gov.br

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Recife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.