Remi Abiola (30 Machi 1952 - 29 Julai 2009) alikuwa mwanamke mwigizaji filamu wa Nigeria na mke wa marehemu Moshood Abiola, mfanyabiashara na mwanasiasa wa Nigeria.[1] Aliaga dunia kutokana na saratani huko New York City tarehe 29 Julai 2009.[2][3][4]

Kazi hariri

Abiola alipata mafunzo ya uigizaji katika Shule ya Sanaa ya Fielding huko England katika miaka ya 1970 baada ya kuacha kazi yake kama muhudumu wa ndege katika Shirika la Ndege la Nigeria. Aliporudi Nigeria, alifanya majaribio kwa ajili ya majukumu ya uigizaji na kushiriki katika mfululizo wa televisheni ulioandaliwa na Bayo Awala na Tunde Oloyede, ambao ulirushwa hewani kwenye kituo cha NTA Channel 10.[5] [6]

Marejeo hariri

  1. "Sunset for top yoruba actress-Remi Abiola". Vanguard News. 31 July 2009. Iliwekwa mnamo 21 April 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "How Star actress Remi Abiola died", World News, April 29, 2009. Retrieved on April 22, 2015. 
  3. "nollywood actress-Remi Abiola dies". Vanguard News. 29 July 2009. Iliwekwa mnamo 21 April 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Opeyemi Gbenga Mustapha. "Curbing the cancer menace", The Nation, June 14, 2014. Retrieved on April 22, 2015. 
  5. "Sunset for top Yoruba actress, Remi Abiola ::Vanguard (Nigeria)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-13.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  6. "I Was Mko's Wife, Not Mistress - Remi Abiola". 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Remi Abiola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.