Richard Krebs (30 Julai 190629 Juni 1996) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishinda medali ya fedha katika mbio za kupokezanaji wa mita 4 × 400 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1928.Hili lilikuwa shindano lake pekee la kimataifa,alimaliza wa tatu katika mbio za mita 400 kwenye mashindano ya kitaifa mwaka 1929.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Krebs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.