Richard Saidi Nyaulawa

(Elekezwa kutoka Richard Said Nyaulawa)

Richard Saidi Nyaulawa (amezaliwa tar. 26 Desemba 1961) ni mbunge wa jimbo la Mbeya Vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Richard Saidi Nyaulawa (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.