Richard Royce Schrock (amezaliwa 4 Januari 1945) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya usanisi. Mwaka wa 2005, pamoja na Robert Grubbs na Yves Chauvin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Richard Schrock
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Schrock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.