Rigobati wa Reims (alifariki 743 hivi) alikuwa askofu nchini Ufaransa.

Alipofukuzwa jimboni na Karolo Nyundo kinyume cha sheria, aliishi kwa unyenyekevu wote.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 4 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.