Rio Branco
Rio Branco ni jina la mji mkuu wa jimbo la Acre katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 153 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Rio Branco | |
Majiranukta: 9°58′29″S 67°48′36″W / 9.97472°S 67.81000°W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | North |
Jimbo | Acre |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 305,731 |
Tovuti: www.riobranco.ac.gov.br |
Viungo vya nje
hariri- (Kireno) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rio Branco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |