Robert Ffrench
Robert Ffrench (alizaliwa takriban mwaka 1962) ni mwimbaji wa reggae na mtayarishaji wa rekodi wa Jamaika.[1]Alirekodi singo zake za kwanza mwaka 1979, akiwa na umri wa miaka 17.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 McDonald, Kandré (2007) "Robert Ffrench returns to singing", Jamaica Gleaner, 21 October 2007, retrieved 24 December 2010
- ↑ Moskowitz, David V. (2006) Caribbean Popular Music: an Encyclopedia of Reggae, Mento, Ska, Rock Steady, and Dancehall, Greenwood Press, ISBN 0-313-33158-8, p. 111-2
- ↑ Anderson, Rick "Robert Ffrench, Heavy D, and Friends Review", Allmusic, retrieved 24 December 2010