Robert Hass (amezaliwa 1 Machi 1941) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2008 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Robert Hass

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Hass kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.