Robin McLaurin Williams (21 Julai 195111 Agosti 2014) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Alianza kuwa maarufu kwenye kipindi cha televisheni cha Mork & Mindy.

Robin Williams

Williams, 2011
Amezaliwa (1951-07-21)Julai 21, 1951
Paradise Cay, California, U.S.
Ndoa Valerie Velardi (1978-1988) (mtoto 1)
Marsha Garces Williams (1989-mpaka kifo chake Williams 2014) (watoto 2)

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.