Rogério Paulo Cesar de Sá (alizaliwa tarehe 1 Oktoba 1964) ni meneja wa mpira wa miguu wa Afrika ya Kusini pia ni mchezaji mstaafu aliyechezea nafasi ya kipa.

De Sá ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa na uwezo mkubwa na kuaminika na nchi ya Afrika Kusini aliye iwakilisha nchi yake katika michezo mitatu tofauti ikiwemo soka, mpira wa kikapu na soka la ndani (mpira wa miguu wenye wachezaji wa tano kwa kila timu)

Maisha ya klabu hariri

De Sá alianza taaluma yake baada ya kocha wa timu ya Kwikot Benoni, Jingles Pereira, ambaye alijuana na babake De Sá, na kujua kwamba kipa huyo hakuwa akicheza soka la kulipwa na hivyo kumsajili mchezaji huyo mara moja. [1]

katika kipindi cha taaluma yake De Sá alichezea klabu kama Moroka Swallows na Mamelodi Sundown na timu zote alihudumu kama Kapteni.

Marejeo hariri

  1. Sa, Roger De; Landheer, Ernest (2002). Roger de Sa: Man of Action (in English). New Africa Books. ISBN 978-0-86486-470-3. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger De Sá kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.