Ron Dugans
mchezaji wa mpira wa miguu wa Amerika
Ron Dugans (alizaliwa Aprili 27, 1977) ni kocha wa futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani. Yeye ni kocha wa wachezaji wa kupokea mpira katika timu ya Florida State. Aliwahi kucheza kama mpokeaji mpana kwa misimu minne na Cincinnati Bengals katika ligi ya NFL.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Ron Dugans, Combine Results, WR - Florida State". nflcombineresults.com. Iliwekwa mnamo Aprili 5, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2000 NFL Draft Listing". Pro-Football-Reference.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-19.