Rose Namayanja

Mwanasiasa, Mwandishi na Wakili wa Uganda

Namayanja Rose Nsereko (alizaliwa mnamo 18 Agosti, 1975) ni wakili, mwandishi, mwanasiasa na meneja wa sekta ya usalama wa raia nchini Uganda. Pia ndiye mwekahazina wa sasa wa chama tawala cha Uganda, National Resistance Movement (NRM)[1].


Viungo Vya Nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rose Namayanja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.