Ruba
Anelidi | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ruba wa tiba akifyonza damu ngozini kwa mtu
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Oda 2:
|
Ruba ni aina za anelidi ambao hupatikana sehemu zilizo na majimaji na hung'ata ngozini na kufyonza damu ya mtu au mnyama. Ruba hung'ata kwa pande zote mbili (mkia na kichwa)
Picha
hariri-
Arhynchobdellida/Haemadipsidae (Haemadipsa sylvestris)
-
Rhynchobdellida/Glossiphoniidae (Helobdella europaea)
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ruba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |