Rumigny ni kata ya wilaya ya Ardennes kaskazini mwa Ufaransa, karibu na mpaka wa Ubelgiji.

Rumigny, Ufaransa

Mwaka 2008 ilikuwa na wakazi 377.

Rumigny inajulikana kama mahali pa kuzaliwa kwa Nicolas-Louis de Lacaille.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rumigny kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.