Gregorio Rafael Vasquez Azacon (aliyezaliwa 20 Septemba 1993, Barcelona, Venezuela), anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Ryan Vasquez, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Venezuela[1][2]

Ryan Vasquez
Ryan Vasquez mnamo 2017
Ryan Vasquez mnamo 2017
Maelezo ya awali
Amezaliwa Septemba 20 1993 (1993-09-20) (umri 31)
Asili yake Barcelona, Venezuela
Aina ya muziki Reggaeton
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo
Aina ya sauti Tenor
Miaka ya kazi 2009 mpaka sasa
Studio kujitegemea

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Artista revelação na cidade de Humaitá, no Amazonas, Ryan Vasquez lançou 10 músicas em 2020". portalmazemourao.com.br. Iliwekwa mnamo 2021-01-04.
  2. "Artista venezuelano é revelação em Humaitá e artesãs indígenas precisam de ajuda no AM". CBN Amazônia. Iliwekwa mnamo 2021-01-04.


  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ryan Vasquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.