Ryuichiro Sakai
Ryuichiro Sakai (坂井 隆一郎, Sakai Ryūichirō,alizaliwa 14 Machi 1998) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 100. Mwaka 2023, alishinda mbio za mita 100 katika mashindano ya Japani,alishiriki katika hafla kama hiyo katika mashindano ya dunia ya mwaka 2022 na 2023, na kufika nusu fainali mwaka 2022.Mwaka 2024, alifuzu mbio za mita 100 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2024 kulingana na kiwango chake cha ulimwengu.[1][2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ryuichiro Sakai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |