Ryuji Muraki (邑木 隆二, Muraki Ryūji,alizaliwa 29 Desemba 1979 katika Mkoa wa Osaka) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Alishiriki katika mbio za 4 × 400 za kupokezana vijiti kwenye mashindano ya dunia ya mwaka 2001,kwa sasa yeye ni mkurugenzi wa klabu ya riadha katika Chuo Kikuu cha Surugadai.[1]

Marejeo

hariri
  1. "4x400 Metres Relay Men − Results". World Athletics. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ryuji Muraki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.