Super Singh
(Elekezwa kutoka SUPER SINGH)
Super Singh ni filamu ya ucheshi ya Kihindi iliyoandikwa na kuongozwa na Anurag Singh. Super Singh ilitolewa ulimwenguni tarehe 16 Juni 2017. Iliashiria ushirikiano wa tano kati ya Diljit Dosanjh na mkurugenzi Anurag Singh.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Super Singh kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |