Saël Kumbedi Nseke (alizaliwa 26 Machi 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa .[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saël Kumbedi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.