Saa za Afrika Mashariki
Saa za Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: East Africa Time, kifupi: EAT) ni kanda muda inayotumika katika Afrika ya Mashariki. Iko katika kanda ya UTC +3, ambayo iko saa tatu mbele ya muda sanifu.
Saa za Afrika Mashariki hutumiwa na: